Contact: | Email: bwawanisecondary@prisons.go.tz

Admission


Tumeandaa Maelezo Muhimu Yanayoleza namna ya kujiunga na shule yetu.

Ndugu mzazi ili kufanikisha mtoto wako kujiunga na shule yetu, tafadhali pakua hati za kujiunga kwa kubonyeza button hapa chini. Hati hiii itakusaidia kuelewa taratibu za kujiunga na kujiandikisha kwa ajili ya usaili.

Pakua Maelezo ya kujiunga

Bwawani Secondary

Joining Instruction

Application Form

Fees Structure

Entry Requirement